GET /api/v0.1/hansard/entries/370423/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 370423,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370423/?format=api",
    "text_counter": 413,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ameze, anapona. Wale ambao wanasema kuwa Serikali ya Jubilee itapiga marufuku miraa, ni waongo. Watu wa NACADA, wakitumia magari ya Serikali, ndio wanatangaza kuwa miraa ni dawa ya kulevya. Juzi, wametukuta na mhe Iringo wakitangaza kuwa miraa ni dawa ya kulevya. Wasijaribu kuharibu jina la Rais wetu. Kama Moi na Kibaki hawakupiga marufuku miraa, si Uhuru ambaye ataipiga marufuku; alipofika Nyambene alisema kwamba yeye akipata kiti cha urais, angefungua soko zote za dunia kwa miraa . Yeye hawezi kuingia State House kupigana na Wameru. Sio Uhuru Kenyatta! Hawa ni wakora wasioshiba. Wanataka kuongezewa katika tumbo ndio wasisikie njaa tena."
}