GET /api/v0.1/hansard/entries/370425/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 370425,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370425/?format=api",
    "text_counter": 415,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Aburi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2901,
        "legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
        "slug": "lawrence-mpuru-aburi"
    },
    "content": "Na simiti pamoja. Bwana Naibu Spika wa Muda kama alivyosema mhe Kajuju, Wameru wanategemea miraa kwa kiwango kikubwa. Wameru wanapokea zaidi ya Ksh20 million kila siku pale Muringene. Miraa nyingine ipo pale Tigania East, mahali panaitwa Mlango. Hizo ni pesa nyingi na ndizo zinatumika kusomesha watoto. Hatuna mahali pengine pa kupata pesa. Sisi Wameru hatuna kitu kingine cha kutegemea ila kilimo cha"
}