GET /api/v0.1/hansard/entries/370427/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 370427,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370427/?format=api",
"text_counter": 417,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Tunataka kilimo cha miraa kiwe sawa na kilimo cha mahindi, majani chai, kahawa ama ndizi. Hii ni kwa sababu miraa ni chakula kama vyakula vingine. Watu waliompigia mhe Wanjohi kura kule Mathare ni wafanyi biashara wa"
}