GET /api/v0.1/hansard/entries/370431/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 370431,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370431/?format=api",
    "text_counter": 421,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Aburi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2901,
        "legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
        "slug": "lawrence-mpuru-aburi"
    },
    "content": "Pesa zinazoingia katika jimbo la Meru kutoka kwa mhe Wanjohi ni nyingi mno. Mimi naunga mkono kwamba biashara ya miraa iendelee. Wakati wa vita kule Turbo, Eldoret, na Molo mwaka wa 2007 mlisoma kwenye magazeti kwamba watu waliobebwa na mabasi ya Eldoret Express walimwagwa pale Gakoromone sokoni. Waliingia katika benki ya Equity na wakapewa kila mtu Ksh50,000. Vijana wetu Wameru waliokuwa wakifanya hawking walipewa pesa wakanunua nguo na bidhaa nyingine ili wafanye biashara. Je, mkipiga miraa marufuku na hali kazi ya hawking miraa ilifungwa,"
}