GET /api/v0.1/hansard/entries/370434/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 370434,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370434/?format=api",
    "text_counter": 424,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "mtapeleka wapi hawa vijana? Wote watakuwa wakora. Ndiposa nasema mimi sina vita na mtu yeyote. Ukigusa miraa umemgusa Mmeru. Uhuru Kenyatta, Rais wetu, alipokuja pale Muringene kuomba kura aliinua miraa na akasema kwamba, “Nyie Wameru mkinichagua, miraa mtauza London.” Leo hii"
}