GET /api/v0.1/hansard/entries/370436/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 370436,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/370436/?format=api",
    "text_counter": 426,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "imepigwa marufuku huko London. Rais amesikia hayo maneno. Ni ukweli hiyo marufuku ataiondoa kwa sababu ana marafiki dunia nzima. Naunga mkono Hoja hii iliyoletwa na mhe Kajuju, ambaye ni dada yangu mdogo, na nasema kwamba biashara ya miraa iendelee. Ahsanteni sana waheshimiwa wapendwa."
}