GET /api/v0.1/hansard/entries/371135/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 371135,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371135/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga)",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Ahsante sana mhe. Naibu Spika. Naunga mkono Hoja hii kwa sababu kule kwetu Pwani tuko na msemo unaosema kwamba: âMpanda ngazi hushukaâ. Unapokuwa pale juu haufahamu kuwa siku moja utashuka. Kwa hivyo, ukiwa pale juu, waangalia walio chini na uwatendee haki. Tunaposema kwamba tunataka kupigana na ufisadi katika nchi hii, ufisadi huu tuuangalie kwa pande zote. Isiwe mfisadi aliye na cheo cha chini ndiye anayechukulia hatua lakini walio na vyeo vya juu wanawachwa."
}