GET /api/v0.1/hansard/entries/371192/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 371192,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371192/?format=api",
"text_counter": 257,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Huka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2240,
"legal_name": "Mohamed Adan Huka",
"slug": "mohamed-adan-huka"
},
"content": "Katika hali ya kusema na kutenda, Serikali ya Jubilee imesema katika manifesto yake kwamba itaumaliza ufisadi. Ningependa kusema kwamba kashfa ya Goldenberg ni mbaya. Lakini mbona hatujataja kashfa ya mahindi, ile ya kazi kwa vijana na ya makaburi? Pia, kuna kashfa ya sukari. Kwa hivyo ufisadi ni ufisadi na tunaupinga wote."
}