GET /api/v0.1/hansard/entries/371196/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 371196,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371196/?format=api",
    "text_counter": 261,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Huka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2240,
        "legal_name": "Mohamed Adan Huka",
        "slug": "mohamed-adan-huka"
    },
    "content": "Mwenzetu ambaye ameongea juu ya ufisadi hapa na alikuwa na nafasi ya kupata faida kutoka kwa ufisadi wakati sisi tulikuwa tunasoma, amesema kwamba Wabunge wa Jubilee wanapinga hii Hoja kwa sababu wao ndio wanafaidika. Je, ni nani angefaidika zaidi? Ni wale ambao walikuwa na nafasi wakati huo au wale ambao walisomwa katika vitabu?"
}