GET /api/v0.1/hansard/entries/371440/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 371440,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371440/?format=api",
    "text_counter": 505,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa sababu ya kuwa na kampuni moja inayoweza kuwasambazia Wakenya umeme, kumekuwa na ufisadi. Utakuta kwamba wanaofanya kazi katika shirika hilo ni wepesi sana kwa kukata stima ikiwa haujailipia. Lakini wengine wanaitisha murungura ili warudishe ile stima kwako."
}