GET /api/v0.1/hansard/entries/371441/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 371441,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371441/?format=api",
    "text_counter": 506,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa hivyo, ni bora kuwa na washikadau wengi kueneza umeme katika Kenya. Jambo hilo litatuwezesha pia kupunguza ufisadi kwa sababu kutakuwa na mashindano ya kibiashara. Kutakuwa na tabia njema katika biashara nchini na hususan katika usambazaji wa umeme."
}