GET /api/v0.1/hansard/entries/371443/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 371443,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371443/?format=api",
    "text_counter": 508,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Wengi wetu tunakumbuka kwamba wakati tulipokuwa tukikuwa, tulikuwa tunatumia vyombo kama hivi ambavyo tunaweza kusema kwa lugha ya kisiasa ni mfumo wa analogue . Kwa hivyo, ni muhimu hata wakati huu ambapo Serikali ya Jubilee imetoa mwito kwa watu kuingia katika mfumo wa digital, kwamba, kuwe na umeme na uweze kusambazwa sio katika shule tu, bali pia katika boma za watu ndipo watoto wakitoka shuleni, waweze kufanya kazi ya ziada au homework . Wataweza kufanya hivyo kwa sababu kutakuwa na umeme ambao umesambazwa wanamoishi."
}