GET /api/v0.1/hansard/entries/371444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 371444,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371444/?format=api",
"text_counter": 509,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, tunaweza kusambaza umeme kupitia kampuni tofauti, ili kupunguza gharama za umeme. Kila kaunti, hasa zile ambazo zina mito ambayo inaweza kutoa umeme, zitaweza kupata pato kutokana na uzalishaji wa umeme. Mfano ni nchi ya Uingereza. Wakati tunalipa Kshs10, wao wanalipa senti hamsini. Kwa hivyo, itapunguza malipo kwa sababu ya ule ushindani. Tutakuwa na uwezo wa kutumia vifaa vya kisasa ambavyo vinatumiwa kutengeneza umeme."
}