GET /api/v0.1/hansard/entries/371445/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 371445,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371445/?format=api",
    "text_counter": 510,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, pia pale nyumbani, tukiwa na umeme, tutakuwa na usalama wa chakula. Tukianza kutumia vifaa kama vile friji, hakutakuwa na haja ya mama kukimbia sokoni kila wakati. Si lazima mama akimbie sokoni kununua maziwa, mboga au vyakula vingine ambavyo vinahitajika. Sioni kwa nini Serikali isichukue muda kupiga msasa ile Miswada ambayo imepitishwa hapa, na ambayo imeunda zile kampuni tofauti tofauti kama vile, Kenya"
}