GET /api/v0.1/hansard/entries/371448/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 371448,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371448/?format=api",
    "text_counter": 513,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Power na zinginezo. Tukifanya hivyo, tutaweza kuwahakikishia Wakenya wetu wako na nafasi ya kupata umeme kwa bei nafuu ile wawe na njia ya kujiinua kiuchumi. Hii itawawezesha wananchi kuishi maisha ya hadhi, ya utu na ya karne ya ishirini na moja."
}