GET /api/v0.1/hansard/entries/371783/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 371783,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371783/?format=api",
"text_counter": 287,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Tungependa tujue gani kati ya hizo ndiyo mbaya. Miraa ni kama ngâombe kwa Wameru kwa sababu wanaitumia kusomesha watoto wao. Sharti tujue gani mbaya na gani nzuri. Miraa sasa inatumika na Wakenya wote. Watoto wote wanakula hii miraa . Kamati itupatie habari kamili."
}