GET /api/v0.1/hansard/entries/372956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 372956,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/372956/?format=api",
    "text_counter": 282,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Asante sana mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii. Nafikiri mambo kuhusu gavana ninaona kwamba ni sheria ambayo haikuwekwa sawa sawa. Kwa ukweli, kila mtu anafikiria ni kwake pekee kuna shida lakini ni kila pahali. Kitu cha kwanza, tuna First Lady mmoja tu; Mrs. Uhuru Kenyatta. Lakini kule ukikuta gavana anasema “First Lady wangu yuko hapa”, sijui nani wangu ako hapa! Kwa hivyo, ningeomba tujaribu tuangalie sheria ile inaweza kusaidia Kenya yetu. Kama Katiba haikuangalia pande zote ni afadhali iletwe Bunge tupitishe yale mambo yatasaidia Kenya. Mambo kuhusu gavana ni taabu. Tunajua Rais ni mmoja na First Lady ni mmoja hatujui mwingine."
}