GET /api/v0.1/hansard/entries/373221/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 373221,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/373221/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Ahsante sana mhe. Spika. Nasimama kupinga Hoja hii. Watu wamekuwa wakioana kwa muda mrefu. Tukifanya haraka tutapitisha suala ambalo litatusumbua baadaye. Naomba tulijadili hili suala baada ya kutoka kwenye mapumziko ndipo tuweze kufanya kazi bora."
}