GET /api/v0.1/hansard/entries/373788/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 373788,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/373788/?format=api",
    "text_counter": 244,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mafuriko hayo pia yameathiri kando kando ya mto ambapo mifugo yetu inalishwa. Sasa hakuna mahali pa kupita. Ng’ombe wanaenda huko, maji yamejaa na mamba ndio hao. Ni hali ya taharuki."
}