GET /api/v0.1/hansard/entries/373789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 373789,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/373789/?format=api",
"text_counter": 245,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mafuriko yameathiri sana sehemu za Madogo na Mororo katika Bura Constituency mahali mhe. Wario anatoka. Tuna makaburi yetu ya Waislamu na Wakristo upande huo. Kila wakati mafuriko hayo yakiachiliwa na watu wa KenGen, yanatoa maiti ndani ya makaburi. Mambo haya yanatutia uchungu sana."
}