GET /api/v0.1/hansard/entries/373790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 373790,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/373790/?format=api",
    "text_counter": 246,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa hivyo, ni hili Bunge la heshima lipitishe Hoja hii kwa nguvu ili maji hayo, badala ya kutumiwa kwa njia ambayo inamaliza watu wetu, yatumiwe kujenga nchi na Tana River. Kwa sababu hiyo, hili Bunge linafaa lipitishe kwamba KenGen na TARDA zilipe fidia kubwa sana kwa watu wa Kenya na watu wa Tana River kwa jumla."
}