GET /api/v0.1/hansard/entries/375098/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 375098,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/375098/?format=api",
"text_counter": 179,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Ahsante mhe. Naibu Spika. Nasimama kuunga mkono hoja hii. Hali ya kumudu uchafu nchini si sawa. Hii ni kwa sababu wale waliopatiwa hayo majukumu wamezembea. Sehemu hii ya Dandora ina uchafu mwingi. Mimi nimewahi"
}