GET /api/v0.1/hansard/entries/375122/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 375122,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/375122/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Simba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 12532,
"legal_name": "Paul Simba Arati",
"slug": "paul-arati-simba"
},
"content": "Asante sana kwa sababu Naibu Spika umenipata vizuri kwamba nilikuwa naongea Kiswahili. Hon. Mbadi anaelewa Kiswahili ni Kizungu. Ni ngumu kwake kuielewa. Lakini ahsante. Taka chafu katika Mji wa Nairobi ni jambo ambalo ni ngumu sana. Tukijaribu kuliguzia, kuna wale ambao wanafaidika. Wanapata mapato yao. Kuna makampuni ambayo yamebuniwa na siogopi kuyasema kwa sababu kazi yao ni kuhakikisha kwamba ile taka iko kule Dandora itaendelea kuwepo kwa sababu hao wanajua vizuri sana wanatengeneza pesa na sio pesa kidogo. Ni pesa nyingi. Makampuni hayo ambayo yanafanya biashara na Baraza la Nairobi yapo na yanajulikana kwa sababu kwa siku nyingi makampuni hayo yamekuwa hayaitaji kuwepo na mikakati kamili ya kumaliza ama kuokota---"
}