GET /api/v0.1/hansard/entries/375230/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 375230,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/375230/?format=api",
    "text_counter": 311,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, juzi tuliona katika runinga kwamba Jua Kali imeanza kutengeneza meko za kupikia ambazo zinaweza kufanya sufuria zetu zisichafuke na tunapika kwa njia mwafaka. Hivyo basi ni kumaanisha ya kwamba tuna talanta nyingi sana na tunaweza kufanya mambo mengi."
}