GET /api/v0.1/hansard/entries/375232/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 375232,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/375232/?format=api",
"text_counter": 313,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, pia napenda kusema ya kwamba wakati tunasema ya kwamba fedha hizi zitapitia katika mfumo wa CDF, ni vizuri sana sisi kama viongozi tujue ya kwamba tukitengeneza mfumo kama huu tuwe hatutaupeleka kisiasa. Isiwe kwamba vijana watakaofaidika pengine watakuwa ni vijana ambao walikufanyia kampeni ama pengine ni vijana ambao wamekuwa katika mrengo fulani wa kisiasa. Huo ni mfumo ambao utakuwa unawaangalia Wakenya kama Wakenya wote na kama vijana"
}