GET /api/v0.1/hansard/entries/377299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 377299,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/377299/?format=api",
"text_counter": 523,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Asante sana Bw. Naibu Spika wa Muda. Ninaomba kuchukua nafasi hii ili nichangie Hoja hii ambayo imeletwa na mhe. Langat. Kwanza, ningetaka kumshukuru na kumpongeza kwa wakati ambao ameuchukua pamoja na Kamati yake kutuletea Hoja hii."
}