GET /api/v0.1/hansard/entries/377697/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 377697,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/377697/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, nachukua hii nafasi kumpongeza Mhe. Njenga kwa kuleta Hoja hii. Hoja hii imekuja kwa wakati unaofaa hasa tukiangalia kule mashinani kati ya vijana wetu. Kusema kweli, vijana wanastahili kutengewa pesa za kutosha katika Bajeti ya Kenya, kinyume na vile ilivyo leo kwa sababu kwanza, wao ni wengi na pili, mahitaji yao yamekuwa zaidi haswa kwa wale ambao wametoka mashule kabla ya kumaliza elimu kwa sababu ya ukosefu wa pesa. Wameshindwa kuendeleza masomo yao. Kwa hivyo, nafikiri hizo pesa zikitengwa, zitasiadia. Nawaomba Waheshimiwa wenzangu kuwa kila wanapozungumza, wale ambao wanashikilia constituencies, hujitaja wao peke yao na wanatusahau sisi ambao constituency zetu ni lile jimbo. Tunaomba hizo pesa zipatikane lakini hata na sisi tupate"
}