GET /api/v0.1/hansard/entries/377700/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 377700,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/377700/?format=api",
    "text_counter": 129,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "huo mgao kwa sababu Women Representative, hata na yeye ana vijana ambao wanamwangalia na mipangilio. Tayari sisi Waheshimiwa 47 tunayo mipangilio ambayo nyinyi wenzetu wakati mnatoa karo za shule, na sisi tunahakikisha kuwa watoto wetu wameweza kutekeleza elimu tofauti na pesa hizo. Kwa hivyo, hizo pesa zikitoka, zisiwe tu mikoni mwenu kwa constituencies. Mhakikishe kuwa sisi 47 pia tuko katika huo mgao. Hii ni kwa sababu nyumba bila mama haijakamilika na sisi tuko wawili; kwa constituency na kwa kaunti. Tuisimamishe hii nyumba kisawasawa. Kwa hayo machache, naunga mkono."
}