GET /api/v0.1/hansard/entries/377715/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 377715,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/377715/?format=api",
    "text_counter": 144,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Asante sana kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie Hoja hii. Vijana wanapotajwa, akina mama na sisi kama wazazi tunafurahi kuona kuwa hawatapotelea mitaani. Tunapowasomesha vijana wetu, mambo kama kunywa pombe, wizi na kukaa mitaani bila kazi yanaisha. Ningetaka kuunga mkono Hoja hii kwa sababu tukiwasomesha vijana, watapata kazi ya kufanya. Kuna vijana ambao wanataka kusoma sana, lakini peza zinawaletea shida. Kwa hivyo, ninaomba tuungane mkono kama Serikali ili tuwasaidie vijana wetu, na tuwatoe mitaani ili tupate madaktari na mawakili wa kesho. Ninaunga mkono."
}