GET /api/v0.1/hansard/entries/378319/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 378319,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/378319/?format=api",
"text_counter": 412,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Onyonka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 128,
"legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
"slug": "richard-onyonka"
},
"content": "Mhe. Mwenyekiti, ningependa kusema vile Mhe. Shebesh amesema. Tafadhali, tuangalie kuwa ingekuwa vizuri tujielewe kwa sababu wananchi kule nje wanatuangalia na vile mnavyoona, runinga inaonesha tunazungumza nini hapa. Tangu jana, tumekuwa tukijishughulisha na mambo kuhusu mishahara yetu, pesa ambazo"
}