GET /api/v0.1/hansard/entries/380240/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 380240,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/380240/?format=api",
    "text_counter": 26,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Mheshimiwa Bw. Naibu Spika, nashukuru kwa wasaa ulionipa ili nitoe mawazo yangu kwa Mswada huu, haswa wakati huu tukiwakaribisha marafiki zetu kutoka Nyandarua. Wafugaji hawatoki kaskazini mwa Kenya tu; wafugaji wanatoka sehemu nyingi zingine. Kwa mfano, sehemu kubwa katika Kaunti ya Migori ni ya wafugaji. Karibu theluthi mbili ya eneo lililokuwa likiitwa Nyanza wakati huo ni sehemu za wafugaji. Mikoa ya Kati, Bonde la Ufa na hata sehemu za Mombasa na Pwani, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}