GET /api/v0.1/hansard/entries/380252/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 380252,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/380252/?format=api",
"text_counter": 38,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, sitaki kuingilia sera, desturi na haki za dini ya Sen. Haji. Ni haki yake kufikiria hivyo, lakini najua kwamba Waislamu ni asilimia kumi na tano tu katika nchi ya Kenya, ilhali asili mia 85 ni watu wa dini nyingine – Wakristo na kadhalika – kwa hivyo, hao bado wangepata haki yao kwa uchumi huo. Sio kwamba kila ngozi itolewayo lazima iuziwe Muislamu."
}