GET /api/v0.1/hansard/entries/380450/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 380450,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/380450/?format=api",
    "text_counter": 236,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, jambo la muhimu ni kuhakikisha kwamba Kenya inaenda mbio na sambamba na maendeleo ya teknolojia katika ulimwengu mzima. Kama Kenya inataka kwenda mbele tunafaa kujenga misingi ya mabunge yetu katika kaunti, ili yaweze kutekeleza zile huduma na kuwasiliana na kuleta mikakati ambayo italeta maendeleo katika kaunti zetu. Bw. Spika wa Muda, kwa mfano, leo hatuna haja tena ya kupewa Order Papers kila siku. Kila wakati ukiingia katika Chumba hiki unapewa karatasi. Tunaweza kuwa na teknolojia ambayo itahakikisha kuwa ukiingia hapa unabonyeza kidude kisha unaona"
}