GET /api/v0.1/hansard/entries/380706/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 380706,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/380706/?format=api",
"text_counter": 22,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Spika, nasimama kuunga Hoja hii mkono. Mabadiliko kama haya ni ya maana sana. Kazi itafanyika kwa urahisi. Pia itawezesha Maseneta kuwa na nafasi ya kufanya kazi ya Bunge hii inavyofaa. Bw. Spika, bila kupoteza wakati, naunga Hoja hii mkono."
}