GET /api/v0.1/hansard/entries/381082/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 381082,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/381082/?format=api",
    "text_counter": 65,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Naunga mkono Hoja hii. Ni lazima mambo ya vijana yaangaziwe na kutiliwa maanani. Sio lazima vijana wasome lakini wale ambao hawajasoma hutumika vibaya kama vile kuungana na mashifta. Kuna wengine ambao hawajui kusoma “a” na “b”. Hawa ndio wanaojiunga na vikundi vya Mombasa Republican Council (MRC) na"
}