GET /api/v0.1/hansard/entries/381084/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 381084,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/381084/?format=api",
"text_counter": 67,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": ". Tusipoangazia mambo ya vijana hawa, Kenya yetu itakuwa katika matatizo mengi. Waswahili husema, asiyejua maana haambiwi maana. Yule ambaye hajui kusoma hajui ubaya wa mambo mengi. Mambo ya vijana yanafaa kuangaziwa. Baada ya vijana kukamilisha masomo, Serikali inafaa kuwapa pesa za kuanza biashara ili kujiendeleza katika maisha."
}