GET /api/v0.1/hansard/entries/381090/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 381090,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/381090/?format=api",
"text_counter": 73,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 431,
"legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
"slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, leo nimeambiwa na mwenzangu, Sen. Elachi, kwamba tangu tuje katika Bunge hili, hatujazungumza katika Lugha ya Kiswahili. Msije mkaona kwamba hatuijui. Pili, ningependa kuhimiza tuunge mkono Hoja hii kwa sababu ya kipengele kimoja tu. Katiba yetu ya Kenya imeangazia maswala ya vijana katika kipengele cha 55. Hakuna jambo ambalo tunafanya katika taifa letu ambalo haliendi sambamba na katiba yetu. Kwa hivyo, ningependa kumuunga mkono zaidi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}