GET /api/v0.1/hansard/entries/381092/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 381092,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/381092/?format=api",
    "text_counter": 75,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Tatu, tusiwachukue vijana ili tuwatumie vibaya na kuwapa mapato duni. Tunafaa kuhakikisha vijana hawa wanapata mapato ambayo yanaleta heshima kulingana na kipengele cha 28. Wanafaa kupata mapato ambayo yanaleta human dignity ili waweze kugharamia mahitaji ya familia zao. Kwa hayo machache, nimeshukuru sana."
}