GET /api/v0.1/hansard/entries/381104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 381104,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/381104/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Elachi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13115,
"legal_name": "Beatrice Elachi",
"slug": "beatrice-elachi"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nakushukuru sana. Kwanza, ningependa kumwambia mwenzangu, Sen. Lesuuda, kwamba Sen. Nyongesa alichangia kwa zaidi ya dakika 25. Kwa hivyo, nafikiri kwamba alizungumza zaidi juu ya maswala ya vijana. Kwa hivyo, asiwe na huzuni sana. Bw. Naibu Spika, ningependa kuwashukuru Maseneta wote. Najua ya kwamba tutakapoendelea, nitahakikisha kwamba ninaleta Mswada kamili. Nitaomba msaada kwa Serikali ili tuipitishe Mswada huo na uwe sheria. Bw. Naibu Spika, naunga mkono Hoja hii."
}