GET /api/v0.1/hansard/entries/381497/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 381497,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/381497/?format=api",
"text_counter": 328,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kumi na mbili za jioni. Ikifika saa kumi na mbili basi ambayo imebeba wanafunzi inafaa kusimama na kuenda kwa kituo cha polisi ama mahali popote ambapo wanaweza kupata msaada wa kulala halafu waanze safari yao asubuhi. Kenya imekumbwa na wakati mgumu hivi sasa kwa sababu hali ya barabara si nzuri, haswa tukizingatia kwamba Kisii ni mahali ambapo kuna milima na mabonde. Barabara zinahitaji kupanuliwa ama wafanye barabara mbili ya kwenda na kurudi. Hii itaweza kuepusha hatari za barabarani. Najiunga pamoja na watu wa Kisii na Wakenya wote kwa ujumla kutoa rambi rambi zangu kwa watu wa Kisii na wale wazazi wote waliopatikana na hasara hii, tunawaombea nguvu na mwenyezi Mungu aweze kuweka roho za wanafunzi na waalimu waliopatikana na hasara ya vifo mahali pema peponi. Asante."
}