GET /api/v0.1/hansard/entries/382242/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 382242,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/382242/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, nashukuru kwa kunipa nafasi ili niunge mkono Hoja hii. Hoja hii ni muhimu sana, hasa kwa watu kama sisi ambao wanatoka mashinani. Sisi huwa tunapata shida sana kwa sababu watu wetu wanapotoka huko na kuja kutafuta haki yao, wengi huja kutueleza shida zao. Wengine wanachukua miaka mingi kuja Nairobi lakini wanarudi bila usaidizi wowote. Kuna haja ya Seneti hii kuwa na mbinu za kuwalipia watu mashinani wanapostaafu. Hii ni kwa sababu watu wanapotoka Kaunti ya Tana River na kufika hapa, wanahitaji malazi na nauli ya usafiri. Mambo hayo yote yanahitaji pesa. Huyu mtu The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}