GET /api/v0.1/hansard/entries/383219/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 383219,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/383219/?format=api",
"text_counter": 268,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ikiwa hakuna pesa ninaomba Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake, watangaze kwa kauli moja kwamba magari yote ya Serikali yasimamishwe kwa muda wa miezi miwili ili tupate pesa za kuwalipa walimu. Wale wanaotumia magari hayo wanaweza kutumia baiskeli au pikipiki kwenda kazini. Serikali itaokoa pesa nyingi za petroli ya magari na itawalipe walimu. Ikiwa Waziri wa Leba, Bw. Kambi Kazungu amesema Serikali zilizotangulia ziliwandanganya walimu, basi hakuna haja ya walimu kukubali mazungumzo na wahuni hawa wandanganyifu."
}