GET /api/v0.1/hansard/entries/383221/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 383221,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/383221/?format=api",
"text_counter": 270,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, nitadhihirisha kwa sababu makubaliano haya yaliafikiano baina ya Serikali na walimu. Mwaka wa 1997, Serikali iliwaahidi walimu kuwa wangelipwa marupurupu yao yote. Kwa hivyo, aliyewaahidi mshahara huu hakuwa mchimba mashimo lakini mwaakilishi wa Serikali na alikuwa na mamlaka ya kufanya hivo kuambatana na kiapo cha ofisi yake."
}