GET /api/v0.1/hansard/entries/383222/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 383222,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/383222/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bi. Spika wa Muda. Sen. Beth Mugo amemuuliza Sen. Muthama afafanue utumizi wa maneno “wahuni” na “wadanganyifu” kwa viongozi walio Serikalini. Matumizi ya maneno hayo si ya nidhamu. Anafaa kuyaondolea mbali ili aendelee na kuchangia Hoja hii."
}