GET /api/v0.1/hansard/entries/383223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 383223,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/383223/?format=api",
    "text_counter": 272,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, ikiwa neno “wahuni” halieleweki vizuri, basi sijua ni tumie neno lipi. Mtu ambaye anasema hayaelewi maneno haya hafai kuaminiwa. Mkataba kati ya Serikali ya Kenya na Urusi uliyotiwa sahihi na Rais Uhuru Kenyatta ni halali kati ya mataifa haya mawili. Ikiwa ninaweza kuwa Waziri na niseme mkataba huu hauwezi kutekelezwa na Serikali hii, basi nitakuwa nikiwandanganya Wakenya. Hatuwezi kuendelea kuketi hapa ikiwa viongozi wanasema maneno ya uongo na tuwaamini. Kwa hivyo, walimu walipwe pesa walizoahidiwa bila kundanganywa na kuhangaishwa. Tusipofanya hivo, hatuwezi kuendelea kama kama taifa."
}