GET /api/v0.1/hansard/entries/384290/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 384290,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/384290/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Nyakeriga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13112,
        "legal_name": "Linet Kemunto Nyakeriga",
        "slug": "linet-kemunto-nyakeriga"
    },
    "content": "Asante Bi Spika wa Muda kwa wakati huu ulionipa ili niweze kuchangia Hoja hii. Kwa upande wangu, ninashukuru sana kwa sababu ya Hoja hii. Kwanza ukiangalia kwa upande wa usafiri, unapata kwamba hizi hospitali ziko mbali sana. Kwa mfano wakati mwingine unapata mzazi amebeba mtoto wa miaka kumi na anatembea kwa muda mrefu kwa sababu hakuna usafiri bora. Pia kuna upungufu wa madaktari. Kwa mfano, unapata hakuna daktari ambaye anaweza kusaidia mtoto ambaye ni kiziwi. Hakuna madaktari wanaoweza kutumia signlanguage . Inafaa madaktari washughulikie walemavu. Ninaunga mkono Hoja hii."
}