GET /api/v0.1/hansard/entries/384907/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 384907,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/384907/?format=api",
"text_counter": 134,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Okong’o",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 948,
"legal_name": "Kennedy Mong'are Okong'o",
"slug": "kennedy-mongare-okongo"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nichangie Hoja hii ambayo imeletwa na mhe. Machage ambaye ni daktari mwenye tajiriba kuu. Bw. Naibu Spika, kwanza kabisa, Hoja hii ya kufanya matumizi ya drugs katika nchi hii kuwa janga la kitaifa ni muhimu sana. Madawa ya kulevya yamechangia sana hivi karibuni kwa---"
}