GET /api/v0.1/hansard/entries/385296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 385296,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/385296/?format=api",
"text_counter": 45,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "asilimia 20 na ilhali tunawatoza kodi nyingine. Kwa hivyo, ni lazima tufikirie tusije tukawatoza kodi za juu na kuwafukuza katika kaunti zetu. Tukifanya hivyo, tutakuwa tumefanya jambo la heri na manufaa katika kaunti zetu zote. Bw. Naibu Spika. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii."
}