GET /api/v0.1/hansard/entries/385715/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 385715,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/385715/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Haji",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika. Nasimama kuunga mkono Hoja hii kwa sababu ni ya maana sana. Tunajua mvua hunyesha kila mwaka hata wakati wa ukame. Janga hili la mafuriko liko mikononi mwa Mwenyezi Mungu. Mvua huletwa na Mwenyezi Mungu. Tunajua Mungu alimuumba binadamu kuwa bora kuliko wanyama wengine wote ili aweza kujitawala, kuweza kujizuia maovu, kujua mema na mabaya. Binadamu aliumbwa akiwa na akili na hekima. Alipewa akili za kuweza kupambana na majanga yote yanayoweza kumkabili. Lakini kitu cha kuhuzunisha ni kwamba tangu tupate Uhuru mpaka leo, mvua baada ya mvua inaleta maafa ya vifo, mali, mimea na barabara kuharibika. Bw. Naibu Spika, wakati Wazungu walipokuja hapa nchini hawakujua mazingira yetu. Kulikuwa na Mzungu mmoja pale Kiambu ambaye alichimba bwawa. Sinema kuhusu watu weusi ilitengenezwa juu yake. Alikuwa na mfanyakazi wa asili ya Kisomali kwa jina la Farah. Siku moja kulinyesha mvua kubwa ambayo iliharibu bwawa lake na maji yakavuja na kutiririka. Asubuhi yake alimuuliza Farah pale maji yake yalikokwenda. Mazungumzo yao yaliendelea hivi: “ Farah, where did the water go to?” Farah, a layman and an African, used his common sense and he replied: “Sir, the water The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}