GET /api/v0.1/hansard/entries/386244/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 386244,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/386244/?format=api",
"text_counter": 73,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Haji",
"speaker_title": "The Senator for Garissa County",
"speaker": {
"id": 26,
"legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
"slug": "yusuf-haji"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, hizo ni kura nyingi sana kwa sababu wengine walichaguliwa na kura 20,000 na kwenda chini. Kwa hivyo, ningependa kuwarudishia shukurani za dhati kwa kunichagua kwa kura nyingi sana. Pia ningependa kuwahakikishia kwamba kutokana na uaminifu ambao walionyesha kwa kunichagua, nitahakikisha kwamba ninatekeleza wajibu ambao ninatakikana kutekeleza katika Kaunti yetu ya Garissa na nchi nzima kwa jumla. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}